Uteuzi wa bosi wa Mwendokasi watenguliwa

0
295

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), akichukua nafasi ya Dkt. Edwin Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.

Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha.