HAPA NANI ANAPITA?

0
224

Hili ndiyo kundi la kifo?

Kila mmoja amecheza mechi mbili. Kila mmoja amepoteza moja na kufungwa moja.

Je, kwa uatabiri wako baada ya mechi sita kila mmoja, nani atapita kwenda 16 bora?