Kampuni zatakiwa kupunguza gharama za urasimishaji ardhi

0
548

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Willium Lukuvi amekutana na Wawakilishi wa kampuni zinazohusika na usimamizi wa urasimishaji ardhi jijini Dar es salaam,  na kuzitaka kampuni hizo kutoa huduma hiyo kwa wananchi kwa gharama isiyozidi Shilingi Laki Moja na Nusu badala ya Shilingi Laki Mbili na Nusu za hivi sasa.