Rais Magufuli akemea urasimu kwa watendaji wa serikali katika sekta ya uwekezaji Tanzania

0
495

Rais JOHN MAGUFULI amewataka watendaji wa serikali kuacha urasimu katika sekta ya uwekezaji ili kuwezesha na kuwavutia wawekezaji wengi nchini hali ambayo itachochea sera ya viwanda na maendeleo ya Tanzania

Rais MAGUFULI ameyasema hayo mkoani NJOMBE mara baada ya kuzindua kiwanda cha chai cha KABAMBE wilayani NJOMBE kinachotarajiwa kuhudumia wakulima wadogo wa zao la chai zaidi ya wakulima Elfu Nne.