Takukuru Tunawalinda Watoa Taarifa

0
144

“ Lakini tumejitahidi kwamba taarifa zinazotolewa na watoa taarifa wetu tunazipokea kwa usiri mkubwa, na tunajitahidi sana katika kuhakikisha tunawalinda ili waendelee kutupatia taarifa na waendelee kushiriki wao kama Wananchi katika mapambano dhidi ya rushwa”.

Amesema Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni alipokuwa akizungumza katika mahojiano na Jambo Tanzania kutoka kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa, Dar es Salaam.