Jina ‘Pele’ kuongezwa kwenye kamusi

0
271

Nchini Ureno jina la mchezaji maarufu wa Brazil aliyefariki Desemba 2022, akiwa na umri wa miaka 82, ‘Pele’ limeongezwa kwenye kamusi kama neno jipya na kielezi kinachomaanisha upekee, ‘Mtu asiye wa kawaida wala asiyeweza kufananishwa.’

“pe.lé adj. ndivyo litavyotamkwa neno hilo.

Kuwekwa kwa neno hilo kunakuja baada ya kampeni ya Pelé Foundation ya kumuenzi nyota huyo wa kandanda iliyoafikiwa na watu zaidi ya 125,00