Tanzania yapokea ujumbe kutoka UAE

0
185

Rais Samia Suluhu Hassan leo Aprili 25, 2023 amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan.

Ujumbe huo umewasilishwa na Balozi wa UAE nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar.