Kiapo cha mawaziri

0
179

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene, wakila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi Ikulu, Dar es Salaam leo Aprili 02, 2023.

Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo Aprili 02, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora leo Aprili 02, 2023.