Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano elekezi wa viongozi

0
333

MMEAJIRI MAAFISA HABARI BINAFSI

“Najua kila wizara ina kitengo cha habari, vitengo hivi vinatumikaje?, vipo tu vimekaa havifanyi kazi lakini bado baadhi yenu Mawaziri mmeajiri maafisa wenu binafsi wa habari wa kutoa taarifa zenu na sio taarifa za Serikali.

Sasa mambo kama haya twende tukarekebishe na nimatumaini yangu kuwa mada kuhusu suala hili litatukumbusha wajibu wetu huo kama Viongozi na wasemaji wakuu wa wizara zetu”.

Rais Samia Suluhu Hassan