Maalim ala kiapo kuwatumikia wana Amani

0
207

Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amemuapisha Abdul Yussuf Maalim kuwa Mbunge wa jimbo la Amani baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika Desemba 17 mwaka 2022.

Maalim amekuwa mwakilishi wa jimbo hilo kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Amani, Mussa Hassan Mussa.