MWAMBE AAGWA KIBAHA

0
207

Ndugu, jamaa marafiki pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiaga mwili wa Pius Mwambe, mtumishi wa TBC nyumbani kwake Picha ya Ndege – Kibaha mkoani Pwani.

Pius Mwambe alifariki dunia tarehe 22 mwezi huu katika hospitali ya Taifa Muhimbili mkoani Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi ya Mwambe yanafanyika leo alasiri nyumbani kwake Picha ya Ndege, Kibaha.