Azam FC yatupwa nje Mapinduzi

0
235

Singida Big Stars wanaipiga Azam FC magoli 4-1 na kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2022.

Singida BS sasa wanasubiri mshindi kati ya Mlandege na Namungo FC, mchezo utakaopigwa kesho.