Mechi za leo Kombe la Mapinduzi.

0
185

Michuano ya Kombe la Mapinduzi kuanza kurindima leo katika dimba la Amaan, Zanzibar.

Mechi hizi zitakuwa mbashara kupitia TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBConline.