KitaifaPicha mbalimbali katika Misa ya Mkesha wa Krismasi KitaifaBy Judith Ene Laizer - December 24, 20220211ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Picha mbalimbali katika Misa ya Mkesha wa Krismasi Kitaifa katika Kanisa Kuu Katoliki la Mt. Theresia wa Mtoto Yesu jijini Arusha.Misa hiyo inaongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu, Isaac Amani.Tupo mbashara TBC1, TBC Taifa na TBCOnline