Kwaheri Kapembe

0
177

Picha za matukio mbalimbali kutoka mkoani Tanga kwenye msiba wa Joachim Kapembe, Mwandishi wa Habari na mpiga picha wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) aliyefariki dunia tarehe 13 mwezi huu mkoani Kilimanjaro.

Kapembe amezikwa leo katika makaburi ya Kange, Tanga.