Dkt. Samia ashiriki mkutano wa AGRA

0
529

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya kilimo katika mkutano wa AGRA uliofanyika kwenye ofisi za taasisi ya Bill na Melinda Gates jijini Washington, Marekani.

Mkutano huo pia umehudhuriwa na Waziri Mkuu mstaafu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn ambaye ni Mwenyekiti wa Mfuko wa AGRF pamoja na wadau mbalimbali wa kilimo.