MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM

0
73

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 wa chama hicho utakaofanyika tarehe 7 na 8 mwezi huu katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma.