KitaifaKesi ya mauaji Njombe yasogezwa mbeleBy TBC - February 25, 20190898ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Watuhumiwa watatu wa kesi ya mauaji ya watoto watatu mkoani Njombe wamesomewa kwa mara ya pili kesi yao na kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 11 mwezi March mwaka huu