Chama lako la Afrika ni lipi?

0
97

Saa 1:00 jioni leo Mbungi itaanza kutimua vumbi jijini Doha nchini Qatar ambapo nchi 5 kutoka Afrika zitashiriki ambazo ni Ghana, Senegal, Tunisia, Morocco na Cameroon.

Kati ya nchi hizo, ipi ni chama lako unaloliunga mkono?.