RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CCM (NEC)

0
137

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.