Mo Dewji aipongeza Yanga

0
182

Kupitia ukurasa wake wa Twitter mwekezaji na mwanahisa wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji @moodewji, ameipongeza klabu ya Yanga kufuatia kufuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Mabingwa hao wa Tanzania wamefuzu hatua hiyo baada ya kuifunga Club Africain ya nchini Tunisia bao moja kwa bila na hivyo
kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe hilo la Shirikisho Barani Afrika.