Dkt. Mpango afika Ruvu Chini

0
153

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Crypian Luhemeja juu ya hali ya uzalishaji na upatikanaji wa maji katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, wakati alipotembelea mitambo ya kuzalisha maji ya Ruvu Chini iliyopo mkoani Pwani.