Rwanda yawapa pole watanzania

0
172

Rais Paul Kagame wa Rwanda ametuma salamu za pole kwa watanzania wote na kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kufuatia ajali ya ndege iliyotokea Bukoba mkoani Kagera na kusababisha vifo vya watu 19.