BODI YA TBC KAZINI

0
134

Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Dkt. Ayub Rioba Chacha, wameanza ziara kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo pamoja na mambo mengine wanakagua ujenzi wa mitambo na vituo vya redio.