Rais ampongeza waziri mkuu wa UK

0
634

Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za pongezi Rishi Sunak kwa kuwa Waziri Mkuu wa 57 wa Uingereza.

Katika salamu zake za pongezi, Rais Samia amemuhakikishia Sunak kuwa, Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na Uingereza.