Rais Ruto kuwasili nchini leo

0
227

Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya siku mbili.

Rais Ruto atafanya ziara nchini kwa mara ya kwanza tangu kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Septemba 13 mwaka huu.

TBC itakuletea matangazo hayo moja kwa moja (mbashara) kupitia TBC1, TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online kuanzia saa 12 jioni.