Rais Samia Suluhu Hassan aliopotembelea hospitali ya Sidra inayotoa huduma za matibabu ya kibingwa kwa nama na mtoto, ambapo amejionea utendaji kazi wa kituo cha utafiti wa Kisayansi kuhusu masuala mbalimbali ya kiafya. Hospitali hiyo ipo Doha nchini Qatar.