“Kwanini inchi za EU wanazungumza kuwa huu mradi usimame? Inaonesha wazi kwamba sera za nchi za Magharibi zinalenga kufanya nchi za Afrika ziendelee kuwa nchi tegemezi katika masuala ya uchumi.
Kadiri tunavyokuwa tegemezi, tutaenda pale kutegemea kutupangia sera nyingine. Muhimu kujikomboa sisi wenyewe,” amesema Mhandisi Abdulazizi Jaad, Mtaalamu Utekelezaji Miradi ya Kimkakati