KIMEUMANA SIMBA

0
217

Mchezaji wa klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam Dejan Georgejevic kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema, mkataba wake umevunjwa kutokana na ukiukwaji wa kimsingi wa mkataba na klabu hiyo.

Mchezaji wa klabu ya Simba ya iijini Dar es Salaam Dejan Georgejevic kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema, mkataba wake umevunjwa kutokana na ukiukwaji wa kimsingi wa mkataba na klabu hiyo.

“I confirm that my contract of employment is terminated with just cause due to the fundamental breaches of the Contract by the Club.
Thank you fans for the support and love you have given me.” ameandika Georgejevic

Hata hivyo klabu ya Simba bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu jambo hilo.