Kikao cha Kamati Kuu Maalum

0
141

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 26 Septemba, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.