KitaifaMabalozi wa EU BungeniBy James Range - September 15, 20220118ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Baadhi ya wawakilishi na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini kutoka katika nchi za Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya ziara yao kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.