Mazungumzo ya Waziri Mkuu na Mawaziri

0
212


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe na Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete wakati wa kikao cha kwanza cha Mkutano wa 8 wa Bunge la 12.