Mazungumzo bungeni

0
79

Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwa katika mazungumzo ndani ya ukumbi wa bunge jijini Dodoma, wakati kikao cha kwanza cha mkutano wa 8 wa bunge kikiendelea.