KITABU CHA MAOMBOLEZO

0
93

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza kilichotokea hapo jana huko Scotland.

Rais Samia amesaini kitabu hicho katika makazi ya Balozi wa Uingereza nchini, yaliyopo Oysterbay mkoani Dar es Salaam.