KitaifaNyama yawakusanya wahadzabe SensaBy TBC - August 23, 20220210ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Wahadzabe wa kijiji cha Qangdend kitongoji cha Murusi wilayani Karatu mkoani Arusha, wakiwa wamejitokeza kuhesabiwa baada ya serikali kuwapatia mahitaji waliyoomba ya nyama pori.