Spika ahesabiwa Mbeya

0
175

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, leo Agosti 23, 2022 ameshiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ambapo amehesabiwa katika makazi yake yaliyopo mtaa wa Sisimba jijini Mbeya.