Sensa 2022

0
323

Picha mbalimbali zikionesha mwonekano wa eneo la Sinza Afrika Sana mkoani Dar es Salaam ambalo mara nyingi huonekana likiwa na shughuli mbalimbali, lakini kwa siku ya leo limekuwa tulivu na barabarani hakuna magari mengi kama ilivyozoeleka.

Hali hii inaashiria kuwa watu wengi wameitikia wito wa kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi hii leo kwa kubaki majumbani kusubiri kuhesabiwa, ikiwa pia leo ni siku ya mapumziko.