Rais Samia kulihutubia Taifa

0
163

Rais Samia Suluhu Hassan saa tatu usiku huu atalihutubia Taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia vyombo vyake vya TBC 1, TBC Taifa na Youtube chaneli ya TBConline vitakuletea hotuba hiyo.