Picha: Rais Samia amaliza ziara mkoani Iringa

0
166
Wananchi wa Isimani waliojitokeza kumuaga Rais Samia Suluhu Hassan
Mbunge wa Isimani Williama Lukuvi akizungumza na wananchi wa jimbo wakati Rais Samia Suluhu Hassan akimaliza ziara yake mkoani Iringa
Chifu Adam Mkwawa II akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari wa TBC Khalid Gangana wakati wa kumuaga Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Iringa