KitaifaSirro Balozi mpya ZimbabweBy Clement Silla - July 20, 20220143ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Simon Sirro kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe.Kabla ya uteuzi huo, Sirro alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.