Bunge laahirishwa hadi Septemba 13, 2022

0
139

“Natoa hoja kuwa Bunge liahirishwe hadi tarehe 13 Septemba 2022 siku ya Jumanne, saa tatu kamili asubuhi litakapokutana tena katika ukumbi huu Jijini Dodoma” Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Bunge #Bungeni #TBCupdates #TBConline