PICHA: Baadhi ya Wabunge kabla ya Mjadala kupitisha Muswada wa Sheria

0
142

Picha za baadhi ya wabunge leo Juni 28, 2022 kabla ya mjadala wa kupitisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2022 Bungeni Jijini Dodoma.