Watu kadhaa wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfariji ya leo mkoani Iringa.
Ajali hiyo imetokea Mafinga Mjini eneo la Changarawe ambapo mpaka sasa idadi kamili ya watu waliofariki dunia na waliojeruhiwa bado haijafahamika.