Bajeti wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi yapita

0
256

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023, ambapo wizara hiyo imeomba kupatiwa zaidi ya shilingi Bilioni 110 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shughuli za maendeleo.

bunge #bungeni #dodoma