MBUNGE ARUKA SARAKASI BUNGENI “SPIKA NISAIDIE”

0
434

Mbunge wa jimbo la Mbulu Vijijini Flatei Massay amepiga sarakasi ndani ya ukumbi wa bunge jijini Dodoma alipokuwa akichangia bajeti ya wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

Flatei amechukua uamuzi huo ikiwa ni njia ya kuonesha hisia zake kwa kero ya kutokuwa na barabara ya lami katika jimbo lake.