Baadhi ya wabunge wakiwasili katika ukumbi wa bunge jijini Dodoma, kushiriki vikao vya bunge la bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
Leo wabunge wanaendelea kujadili bajeti ya wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni hapo jana na waziri wa wizara hiyo Hussein Bashe.