KitaifaBaadhi ya wabunge wakiwasili ukumbi wa Bunge jijini Dodoma kushiriki vikao vya Bunge la Bajeti 2022/2023.By Judith Ene Laizer - May 9, 20220193ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Leo wabunge wanaendelea kujadili hoja za Serikali za Mapato na Matumizi kwa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambapo Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Ashatu Kijaji ametoa hoja ya kuomba Bunge kupitia na kupitisha Bajeti wizara hiyo.