TBCLIVE: Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

0
209

Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Amaan Zanzibar panapofanyika Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matufuku ya Zanzibar.

Hafla hiyo inayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Marais wastaafu, viongozi wastaafu, viongozi waandamizi wa serikali, taasisi mbalimbali jumuiya za kimataifa na wananchi kwa ujumla.

Mapinduzi hayo yalifanyika Januari 12, 2022 kwa kuung’oa utawala wa Kisultan.