Spika Ndugai ajiuzulu

0
249

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amejiuzulu wadhifa wake leo Alhamisi tarehe 6 Januari 2022.

Kwa mujibu wa barua aliyoiandikia yeye mwenyewe Spika Ndugai, amesema uamuzi huo wa kuachia nafasi hiyo ameufanya kwa hiari yake mwenyewe

“Napenda kuwashukuru wabunge wenzangu kwa ushirikiano walionipa, wananchi wa Jimbo langu la Kongwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi chote nilichokua katika nafasi hiyo