MichezoAjibu kuichezea Azam FC kwa mwaka mmojaBy TBC - December 30, 20210172ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Klabu ya Azam FC imetangaza kuingia mkataba wa mwaka mmoja na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu.Ajibu amekabidhiwa jezi namba nane iliyokuwa inavaliwa na Salum Aboubakar (Sure Boy) aliyejiunga na klabu Yanga hivi karibuni.